Mechi ya Burundi na Erithria ya simamishwa kwenye mitaa yapili kwasababu ya mvuwa kali...
Mchezo zidi ya Burundi na Erithria umesimamishwa kwa sababu ya mvuwa kali sana kunyesha niwakati Burundi ilikuwa imesha jipatia Goli moja dhidi ya Erithia...
Jordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique
Mchezaji mwenye asili ya Burundi Jordi Liongola ame saini mkataba waku ichezeya timu Lierse KSK ya daraja lapili inchini Belgique hapo jana tarehe 19...
Big Fizzo aomba pesa wapenzi wa Mziki wa Buja Fleva kupitia Boomplay,Spotfy
Msanii ngulu wa Mziki wa Buja fleva Kiongozi wa Record Lebo Bantu Bwoy Big Fizzo ame amuwa kuwa elekaza mashabiki zake na kuwa onesha...
Izere FC ya salim amuri zidi ya Mugara FC
Nimchezo wakirafiki ulio ulio chezwa kwenye uwanja wa Mugara wilayani Rumonge mukowani Rumonge ijumapili hii ya tarehe 19 julai 2021 kwenye majira ya saku...
Wiz Designer asema ndotozake za Mziki inje ya Burundi
Muimbaji anatabiriwa kuwa na mafanikio makubwa sikuzijayo kimziki inchini Burundi Wiz Designer nawingi kumfahamu baada yaku achia video yawimbo wake NYAMPINGA mwaka jana 2020...
Tanzia : Mke wa Nziza Desire Bijoux Afariki dunia
Msanii ngulu wa mziki wa Buja Fleva Nzizaa Desire ayingia kwenye manjonzi makubwa kwaku mkosa mukewake mpendwa Bijoux leo ijumaa tarehe 16 julai 2021...
R Vicent Blaro aelezea ujio wa EP yake
Msanii R Vicent marufu kama Bloro kutoka mkowani Rumonge amefunguka kuhusu ku achia EP yake ingawa itaku ni marayakwanza ku achia EP, Blaro ni...
Mshabika afunguka saababu za Lolilo kutokuwa Msanii Mzuri tazama hapa
Nimaraschachi machabiki ndani ya Buja Fleva kufunguka nakusema ukweli kuhusu wa imbaji wa Buja Fleva, akizungumuza na zabuja tv mshabiki alisema ninani msanii ana...
VIDEO MPYA : Jeanine Jaja kakutetea hii “Dufise Imana” Itazama hapa | Download
Muimbaji wanimbo za kumutukuza Mungu (Gospel Music) Jeanine Jaja ambaye ni mwezi mii alikuwa ame achiwa wimbo Kukutari Bayari na ikiwa imesha tizamwa nawa...
Mr Champa awachana ma follows kwunye instagram tizama hapa Video
Msanii Mr Champange ame amuwa kuwapa mbaya mbaya wafuasi wake Follow wakwenye instagram ambayo uwa awa like picha nakudayi kuwa niwambea tu wala sio...