Muimbaji Big Fizzo asherekea tarehe yake yakuzaliwa

Muimbaji Big Fizzo asherekea tarehe yake yakuzaliwa

25 July 2021 0 By KAMIKAZI

Muimbaji ngulu wamziki wa Burundi Big Fizzo ime dhihirika kuwa ali zaliwa tarehe 25 Julai hayo yameonekana kupitiya ukurasa wa facebook ya Record lebo  ya Bantu Bwoy wakiwa wana mtakia maisha marefu na umuri mkubwa japo Muimbaji Bigi fizzo yeye akuposti kitu chocho cha ku achiria ao kuonesha tarehe yake yakuzaliwa kwenye ukurasa wake wa instagram.

ikumbukwe kuwa Big fizzo atashiriki kwenye tamacha likubwa mujini Bujumbura ambalo Muimbaji Alikiba atakuwepo ni THe King is Back .

Facebook Comments Box
8250cookie-checkMuimbaji Big Fizzo asherekea tarehe yake yakuzaliwa