Jordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique

Jordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique

20 July 2021 0 By H. Mervis

Mchezaji mwenye asili ya Burundi Jordi Liongola ame saini mkataba waku ichezeya timu  Lierse KSK ya daraja lapili inchini Belgique hapo jana tarehe 19 julai 2021.

Mkataba huyo ume onesha kuwa mchezaji Jordi Liongola  ata ichezea timu hio kwa mwaka umoja, hata ivyo ukukumbuke kuwa Jordi amesha itwa mara kaza ku ichezea timu yake yataifa Intamba Murugamba kama muchezo ulio kutanisha Burundi na Maroc mwakajana (2020) kwaku saka tiketi ya kwenda kwenye kombe la Africa, mchezo ulio fanyika mujini Bujumbura.

Mchezaji Jordi Liongola ni mtoto wa Liongola  mchezaji wampira wamigu wazamani wa timu ya Inter FC na timu ya taifa Intamba Murugamba.

Zinedine Zidani hataki tena kuwa Coach wa Real Madrid nae Emery Unai ajingea historia kubwa

Facebook Comments Box
7630cookie-checkJordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique