Home NEWS Channy Queen anawashinda wo Crown Rema asema

Channy Queen anawashinda wo Crown Rema asema

491
0

Muimbaji Crown Rema ambaye kwasasa anatamba na video lyrics yawimbo wake URAMFISE alio mshirikisha Muimbaji Channy Queen ni zaidi ya wiki moja sasa tangu walipo uweka hadharani ilikuwa tarehe 11 julai 2021 na imesha tazamwa na zaidi ya watazamaji 1.000 views.

Crown Rema aki zungumza na zabuja.com alisema mapokezi ya wimbowake yalikuwa mazuri ukilinganisha mupaka sasa nigsigani inavyo chezwa sehemu mbalimbali, pia alipo ulizwa ni kwanini ali amuwa kumushirikisha Channy Queen ambae kwasasa haonekani sana ndani ya mziki wa Buja Fleva, Crown Rema alisema : Katika waimbaji wasichana namukubali sana kupita maelezo kwani anajuwa kuimba hata uimbaji wake naupenda, Channy queen nilikuwa nahamu sana ya kufanya naye nyimbo sasa ndotozangu zilitimia nakweli ali itendea haki .

Pia Crown Rema ali bainisha kuwa hakuna mupango wowote kutowa video official ya wimbo huyo Uramfise licha yaku onekana video lyrics kupendwa, hata ivyo ali weka waziku kuwa kwasasa akuna mupango wakufanya nyimbo nyingine na Channy Queen ali ikibidi wayafanya alijibu baada yaku ulizwa kuwa kuna mupango mwigine ao la waku fanya nyimbo nyingine na Channy Queen.

Tigger Brizz aongelea surprise ya wimbo wake | Summer Part Show

8030cookie-checkChanny Queen anawashinda wo Crown Rema asema
Previous articleOlegue kwamara yakwanza Mukowani Rumonge Moto utawaka
Next articleVIDEO MPYA : Emma Nigger akiwa ame mushirikisha Lino G na Hak jeezo nakuletea “Gumya” itazama hapa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here