Mkombozi afunguka kuhusu kurejea inchini Burundi

Mkombozi afunguka kuhusu kurejea inchini Burundi

21 juillet 2021 0 Par KAMIKAZI

Msanii Mkombozi akiwa nasiku nyingi ayupo Burundi sasa ame amuwa kufahamisha safariyake yakurudi inchini Burundi ndani ya wiki hii, hayo aliyafahamisha kwenye mahojiyano aliyo yafanyana mtangazaji wakenye kituwo chahabari Radio isanganiro ndani ya kipindi.

Mkombozi alifahamisha kuwa anajianda kuja kusherekea sikuku yake yakuzali hapo tarehe 24 julai 2021 na nilazima asherekeye pamoja na mashabiki zake wa Burundi, Mkombozi nikitambo haja onekena ndani ya Mziki wa Buja fleva ambapo wimbo wake wamwisho kuonekana emo nindani ya video ya wimbo SIKO NABISANZE alio shirikishwa na Muimbaji SPOKS MAN nizaida ya myaka miine sasa imetoweka.

 

Facebook Comments Box
7920cookie-checkMkombozi afunguka kuhusu kurejea inchini Burundi