Home VIDEOS VIdeo NDIMU | BIG FIZZO UWENDA ALIPEWA HELA ILI POST VIDEO YA...

VIdeo NDIMU | BIG FIZZO UWENDA ALIPEWA HELA ILI POST VIDEO YA Lil Nafy – Surrender

1027
0

Ngulu wa mMuziki wa kizazi kimpya Big Fizzo ashangaza wengi baada ya kuonekana akiwa ana ifanyiya promo ya kipekee na pia ya upendelevu kwa Muimbaji chipukizi Lil Nafy kwa wimbo wake alio towa juzi juzi “Surrender” kupitia kwenye mitandayo yake yakijami na wengi kuanza kupeleka mbali fikra kuwa uwenda alipewa mkwanja murefu ili ayifanye kazi hiyo ya promo.

Big Fizzo ni Msanii ambeye ana zoshutuma shingi zakuto ku towa sapoti kwa wa imbaji wengine.

Tazama video yakipindi ya mtangazani wako NDIMU OFFICIAL yote na usikosi kuacha commente.

https://www.youtube.com/watch?v=23-EDqnTaPM

57780cookie-checkVIdeo NDIMU | BIG FIZZO UWENDA ALIPEWA HELA ILI POST VIDEO YA Lil Nafy – Surrender
Previous articleYvan Muziki yiyamiriza Ikinyamakuru IGIHE OFFICIAL co Mu Rwanda
Next articleVIDEO NSHASHA | Ir Emery Sun – Bayuda | DOWNLOAD