Natacha kufanya nyimbo na Bruce Melodie na Eddy Kenzo ?

Natacha kufanya nyimbo na Bruce Melodie na Eddy Kenzo ?

27 January 2023 Off By H. Mervis

Msanii Natacha baada ya ku post akiwa safarini na kusema kuwa anaenda ku chaji simu yake sehemu kusiko julikana hatimaye jana ameonekana akiwa kwenye picha kupitia insta-story yake  na wasanii wa East Africa ambao ni Bruce Melodie wa Rwanda pamoja na Eddy Kenzo wa Uganda.

Picha hizo inaweza kuwa ni moja ya Ishara inayoweza kutuaminisha kuwa kuna kazi inayoweza kuwa iko njiani baina ya msanii Natacha na wasanii hao hata kama bado hatujakuwa  taarifa kamili ao kama ni picha tu  au ni kazi iko njiani

zabuja.com tumejaribu kumtafuta Management wake ili atupe  ukweli wote ila nae pia ni kama hajapenda kuweka wazi kuhusu Habari hiyo bado tunaendelea kufanya uchunguzi ili tupate Habari kamili .

Video : Hiyi ndomana ya FUSHO TUNE Rumonge | Famous afunguka mengi utakubali

Facebook Comments Box
51250cookie-checkNatacha kufanya nyimbo na Bruce Melodie na Eddy Kenzo ?