Home NEWS Natacha Burundi asasiri naku elekea inchini italy tazama hapa |video instagram

Natacha Burundi asasiri naku elekea inchini italy tazama hapa |video instagram

332
0

Msanii Natacha Burundi baada yaku achiya wimbo wake NAGA ambayo kwasa unakwenda vizuri ukilinganisha na watazamaji kwenye ukurasa wake wa Chanel ya YouTube, amepanda ndege mujini Bujumbura leo ijumaa jioni tarehe 25 juni 2021 misa yasa kumi naku elekea inchini Italy, Natacha ame safiri na mume wake Alfredo na watoto zake.

Menega Rapha aki zungumuza na zabuja.com alisema kuwa ame enda Italy kwa niaba ya likizo na pia nifuru yaku endelea kusherekea sikuku ya siku yakuzalaliwa kwa Mme wake Alfredo na atamaliza mwezi nanusu inchini hapo Italy.

Tazama hapa video instagram

5880cookie-checkNatacha Burundi asasiri naku elekea inchini italy tazama hapa |video instagram
Previous articleGaga Blue atakaza ujiyo wa nyimboyake mpya akiwa na Msanii Kanyosha
Next articleDIAMOND afunguka mazito kwa mara ya kwanza baada ya kukosa tuzo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here