DIAMOND afunguka mazito kwa mara ya kwanza baada ya kukosa tuzo

DIAMOND afunguka mazito kwa mara ya kwanza baada ya kukosa tuzo

28 June 2021 0 By H. Mervis

Msanii nyiota wa mziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ame amuwa kutoya yamoyoni baada ya kukosa tunzokubwa duniani za BET kwamara yanyingine tena ikumbukwe kuwa alikosa mwaka wa 2014 na 2016 namekosa sasa 2021 ambapo ali shinda na Msanii kutoka Nigeria Banna Boy,  Diamond Platnmuz kupita ukurasa wake wa instagram ali andika :

“kupitia tuzo hii nimeona ni kias gani watanzania tuna umoja, upendo na kuthamini vya kwetu…Nawashkuru sana kila mmoja wenu kwa Upendo mkubwa mlionionesha…Nifaraja kuona Dunia inapotaja nchi zenye Wanamuziki bora Tanzania inatajwa, ni jambo la Kumshukuru Mungu….Na naamini wakati mwingine Tutaibeba…nitafarijika kesho na kesho kutwa msanii mwingine pia akiwa katika jambo la kuwakilisha Taifa tumpe nguvu kama mlionipa…. sis ni #swahiliNation ¬†sisi ni Taifa la Waswahili.”

diamond platnumz

 

Facebook Comments Box
5920cookie-checkDIAMOND afunguka mazito kwa mara ya kwanza baada ya kukosa tuzo