Gaga Blue atakaza ujiyo wa nyimboyake mpya akiwa na Msanii Kanyosha

Gaga Blue atakaza ujiyo wa nyimboyake mpya akiwa na Msanii Kanyosha

25 June 2021 0 By KAMIKAZI

Msanii Gaga Blue ame amuwa kuwa omba mashabiki zake kuuka mkawo wakula kwakusubiri nyimbo mpya ambao ata iyaciya soon akiwa na msanii mwenye asili ya Kanyosha  mjini bujumbura pia mwenye ku imba miondoko ya Hip Hop Fabi Love, kupitia ukurasa wake wa Facebook , Gaga Blue ame posti picha akiwa na Fabi Love naku andika :

Moja kati Ya ngoma Yangu kali uyu mwaka basi iyi hapa nina imani ma fans wa mziki mzuri muta enjoy Sana GAGA BLUE feat FABI LOVE  Kamenge X kanyosha  ambilia mwenzako kama Gaga blue Soon ata acia ngoma Ya hip hop Trap.

Gaga Bule itakuwa ningoma yake yakwanza kushirikiyana na Msanii Fabi Love pia itakuwa niwimbo watatu kuachia mwaka huyu kwani tarehe 03 Februari 2021 alichia video Lyrcs ya wimbo SHATI nai imesha tazamwa na zaidi ya watazamaji 2.000 Views na tarehe 16 aprili 2021 aliachia video yawimbo UGURURA na imesha tazamwa na zaidi ya watazamaji 6.000 Views.

Tazama hapa video ya wimbo Ugurura

MISS ERICA AANGUSHA MACHOZI MBELE YA CAMERA KENT-P AMSHITAKI MISS ERICA

Facebook Comments Box
5840cookie-checkGaga Blue atakaza ujiyo wa nyimboyake mpya akiwa na Msanii Kanyosha