CategoryARTIST
Bongo: Msanii Diamond anununwa gari jipya ndani ya Miezi miwili anunuwa gari mbili
24 June 2021 0 By KAMIKAZIBaada ya Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kununuwa nakuwa anatembekea Cadillac Escalade Black Edition 2020 mpya Kutoka kwenye box . Hii inakuwa ni Cadillac Escalade ya 2 kwa Diamond kununua ndani ya Miezi miwili ukiachana na Ile ya kwanza iliyovuja mitandaoni Wiki kadhaa zilizopita .
Facebook Comments Box