Marekani: Gari la Marehemu Paul Walker lauzwa zaidi ya bilioni 1.2 za Burundi

Marekani: Gari la Marehemu Paul Walker lauzwa zaidi ya bilioni 1.2 za Burundi

24 June 2021 0 By KAMIKAZI

Miongoni mwa stori zinazochukua headlines nchini Marekani ni kuhusu gari la Marehemu Paul Walker ambalo limeripotiwa na vyombo mbalimbali kwamba linauzwa kwa dola za  kimarekani 550,00.

Gari hilo lenye usajili wa namba MK4 toyota Supra limethibitishwa ndio lililokuwa likitumiwa na Marehemu Paul Walker, Paul alifarika mnamo mwaka 2013 kwa ajali ya Gari katika mji wa California.

Facebook Comments Box
5600cookie-checkMarekani: Gari la Marehemu Paul Walker lauzwa zaidi ya bilioni 1.2 za Burundi