Msanii ngulu wa mziki wa Buja Fleva Nzizaa Desire ayingia kwenye manjonzi makubwa kwaku mkosa mukewake mpendwa Bijoux leo ijumaa tarehe 16 julai 2021 Mchana, hiyinipigo pia kwamashabiki wa mziki za Buja Fleva.
Bi Bijoux Nziza habari zinashadikisha kuwa alikuwa ana umwa na kuiaga dunia kwenye hospital ya mujini Bujumbura, habari ilipo mfikia mmewake Nziza desire alizirai kwa mushituko.
Ikumbukwekuwa Nziza Desire alifunga pingu zamaisha na Bijoux nitakribani myezi minane ime isha wakiwa mke na mme na leo Nziza Desire alikuwa kwenye harakati ya kuachia video nima saa machache yame isha kabla yakifo cha mke wake alikuwa ame achia video yawimbo wake Mwiza.
Tigger Brizz aongelea surprise ya wimbo wake | Summer Part Show
71500cookie-checkTanzia : Mke wa Nziza Desire Bijoux Afariki dunia