Msanii R Vicent marufu kama Bloro kutoka mkowani Rumonge amefunguka kuhusu ku achia EP yake ingawa itaku ni marayakwanza ku achia EP, Blaro ni zaidi ya myezi mitisa ajaachia wimbo wa yemwenyewe kwani tarehe  25 septemba 2020 aliachia audio yawimbo « Nibabi » na imesha sikilizwa na zaidi ya wasikilizaji 400 Views kwenye chanel yake ya YouTube na baada yahapo R Vicent alionekana akishirikishwa na Msanii Fabby Tozzy ndani ya video yawimbo « Anaigiza » nizaidi ya myezi mitatu sasa.

R Vicent akizungumza na zabuja.com alisema ukimyawake wakutokutowa nyimbo nikwa sababu alikuwa na zikusanya aje ku towa EP yanyimbo zenye kiwango kikubwa zaidi, pia alisema harakahara ayina baraka nisiku zijao tu itakuwa hadharani na kuomba mashabiki kumusapoti.

Hata ivyo akuweka wazi EP itakuwa nanyimbo ngapi ao itakuwa nalipi jina.

Facebook Comments Box
7110cookie-checkR Vicent Blaro aelezea ujio wa EP yake

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *