Mb Data awonyesha mapenzi makubwa kwa mshabiki wake alipo muvika nguwo tazama hapa

Mb Data awonyesha mapenzi makubwa kwa mshabiki wake alipo muvika nguwo tazama hapa

12 juillet 2021 0 Par KAMIKAZI

Msanii Mb Data ao nyesha mapenzi makubwa sana kwa mushabiki wake baada yako muzawadia nyuwa yake ambayo alikuwa amevaa naku muvisha nayo ilikuwa nihii ijuma mosi hii ya tarehe 10 07 2021 alikuwa mkowani Rumonge ambabo aliburudisha mashabiki zake kwenye tamasha Summer Part Show tizama hapa

Facebook Comments Box
6691cookie-checkMb Data awonyesha mapenzi makubwa kwa mshabiki wake alipo muvika nguwo tazama hapa