VIDEO LYRICS MPYA | Channy Queen – Fomila | DOWNLOAD
10 July 2021Msichana ngulu wamuziki wa Buja Fleva Channy Queen baada ya kuto sikika kwa zaidi ya mwaka ndani ya Buja Fleva hatimaye ame achia nyimbo mpya ikiwa ni Video Lyrics ime beba jina Fomila, ikubwukwekuwa wimbo wake wamwisho ilikuwa ni video ya wimbo Queen na imesha tazamwa nawatazamaji zaidi ya 70.000 views kwenye chanel yake ya YouTube. Channy Queen Kwamara hii kukuletea Fomila itazame hapa.
Play
Stop
Facebook Comments Box
66000cookie-checkVIDEO LYRICS MPYA | Channy Queen – Fomila | DOWNLOAD