VIDEO MPYA : B Kobra ft Mo’W Kenzie – Fine Girl | DOWNLOAD

VIDEO MPYA : B Kobra ft Mo’W Kenzie – Fine Girl | DOWNLOAD

7 July 2021 0 By KAMIKAZI

Msichana B Kobra kota ndani ya Buja Fleva baada ya kumshirikisha Kiriku akili kwenye ngoma yake I LIKE ambayo mupaka sasa imesha tazamwa nawa tazamaji zaidi ya 67.000 views kwenye chanel yake ya YouTube ikiwa ni zaidi ya myezi misaba imetoweka pia mwezi wapili tarehe 12  2021 ali achia video ya wimbo Love ambao hukutambe vizuri ki upande wa Views kwani mpata sasa umesha tazamwa na watazamaji zaidi ya  3.000 Views.

B Kobra sasa ame kuja na ngoma mpya akiwa ame mshirikisha mshichana Mona Warada marufusana kwajina la Mo’W Kenzie, ikiwa sasa ni siku yapili tangu Fine Girl kuwekwa hadharani na tayari imesha tizamwa na zaidi ya watazamaji 10.000 Views kwenye youtube. B Kobra ft Mo’W Kenzie marahiyi wakuletea Fine Girl itazama hepa.

B-Kobra-ft-MoW-Kanzie-Fine-Girl.mp3 (85 downloads)

MSHABIKI ASEMA SABABU ZA LOLILO KUTO KUWA MSANII MZURI

Facebook Comments Box
6310cookie-checkVIDEO MPYA : B Kobra ft Mo’W Kenzie – Fine Girl | DOWNLOAD