Msanii chipukizi mzaliwa wa mukowani Rumonge Fabby Tozzy ameonekana akiwa juu baada ya ku faya nyimbo na Lolilo, Fabby Tozzy time hii wametuletea video mpya ya wimbo wawo uitwao « Doda » unaweza ukaitazama hapa.
GASORE AWASHA MOTO KWA BIG FIZZO NATACHA SAT B LOLILO NA VICHOU LOVE AKIWA RUMONGE
48410cookie-checkVIDEO LYRICS MPYA : Fabby Tozzy akiwa amemshirikisha Lolilo wamekuletea hii “Doda”Itazame hapa