Msaanii Pechie B-Nation ame amuwa kuachia video ya wimbo wake mpya Lolo naku mshirikisha muchekeshaji Alvin Smith ambaye kwasa ametamba sana na vichekesho. Pechie B-Nation time hii wametuletea video mpya ya wimbo wawo uitwao « Lolo » unaweza ukaitazama hapa na Ku download.
- 1.Lolo - Pechie BNation ft Alvin Smith mp32:58
Zinedine Zidani hataki tena kuwa Coach wa Real Madrid nae Emery Unai ajingea historia kubwa
45410cookie-checkVideo MPYA : Pechie B-Nation akuletea video mpya Lolo amshirikisha Alvin Smith |Download