Akon amupuuzia mwizi aliemuibia gari

Akon amupuuzia mwizi aliemuibia gari

4 June 2021 0 By H. Mervis

Mwanamuziki Akon amesema hana mpango wa kumshtaki mwizi wa gari lake aina ya Range Rover aliyeliiba wakati akiwa kituoni akiuongeza mafuta.

Akon alifanikiwa kulipata gari lake baada ya kushirikiana kwa ukaribu na maofisa wa usalama ambao walitumia teknolojia kubaini tukio hilo lililotokea wiki moja iliyopita.

Chanzo cha karibu na mkongwe huyo kimeeleza kwamba hana mpango wa kuwasilisha malalamiko mahakamani ya wizi bali amempa nafasi ya pili kufirikia ni namna gani anaweza kujikwamua na kuondoka mtaani ili kuachana na tabia hizo na kusema ananataka kutumia wakati wake kwa maisha bora.

HAKUNA MUIMBAJI BURUNDI KAMA BIG FIZZO | DJ KIUNO AWAPA MAKAVU WAIMBAJI WABURUNDI

Facebook Comments Box
4050cookie-checkAkon amupuuzia mwizi aliemuibia gari