Faraja afunguka ujio wanyimbo yake mpya

Faraja afunguka ujio wanyimbo yake mpya

10 mai 2021 0 Par H. Mervis

Msanii wa kike muimba nyimbo zainjili Faraja Deogratias mzaliwa wa ichni Burundi ambaye ana ishi america kwa sasa amefunguka ujiyo wanyimbo yake mpya ingawe wengi hudadisi kuwa nimyezi kadha ime isha hajatowa nyimbo.

Akizungumza na zabuja.com,Faraja alifahamisha kuwa siku za usoni ata achia wimbo mpya ingawa alikawiwa kidogo na kusema kuwa ni nyimbo itakuwa kwanye kiwango chaju ukilinganisha na zingine, ikumbukwekuwa wimbo wake yamwisho ambayo angali anatamba nayo ni WEWE alio mshirikisha muimba nyimbo za injili Alphonce Mutema na imesha tazwama nawatu zaidi ya 10.000 Views ikiwa na zaidi ya myezi mitano ikiwa kwenye ukurasa wa chanel ya youTubu wa Faraja Deogratias.

Faraja Deogratias licha yakuwa muimbaji wa nyimbo za injili pia ni mwalim waku fundisha luga Ya kingereza pia hata kwenye mitandayo yakijami pia yuko na chanel yake ya YouTube ya ku fundisha lugha ya kingereza.

Facebook Comments Box
690cookie-checkFaraja afunguka ujio wanyimbo yake mpya