Home NEWS Bien Freema afunguka yamoyoni baada ya Big Fizzo akiwa Dar Salam

Bien Freema afunguka yamoyoni baada ya Big Fizzo akiwa Dar Salam

456
0

Msanii Bien Freema Boy kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amefunguka yamoyoni kuhusu mziki wa Burundi kwani ni zipi sababu zakufeli japo wanajituma na kumpongeza Msanii Big Fizzo kwa hatuwa kubwa kimziki kwani kwasasa yuko mujini Dar salm Tanzani ambapo ina sadikishwa kuwa ata fanya collaba mbili na kwa sasa yuko muharakati zaku shoot video yawimbo akiwa na Jux aliandika :

Mziki wetu ivi sasa uko vizuri sana ila japo tunajituma tunafanya vizuri bado wana tunyima support kamwe habituvunji nguvu kwasababu mziki wasasa niwa mutoto wa mama ukiwa na tumika sana sapoort zinapewa wangine Big up Big Fizzo kwahatu umefikiya kwafaida za inchi yetu yadhihirisha kuwa tuna weza sana. Wenye vipaji wanaitaji kuungwa mkono wote siyo kwafaida zawo binafusi bali nikwa faida zainchi yetu tuache uhasama tuchukuwe mfano kwenye inchi jirani @Tanzania @Ouganda @Rwanda ….. hiwe nisomo kwetu. Nina wapongeza wasanii wote ambao wako wana jituma kwa kazi zawo nzuri sana Courage kesho nipazuri.

Nima lalamiko ambayo wasanii wengi huya dadisi sana kwenye midadayo ya yakijami maranyingi kuwa baadhi ya vitengu kuto kutowa saport kwa wa imbaji wote sawa bali kwa ubaguzi fulani jambo lina leta nguzo sana.

802cookie-checkBien Freema afunguka yamoyoni baada ya Big Fizzo akiwa Dar Salam
Previous articleK_Muco arudi kwakishindo nakasi kubwa ndani ya Buja Flavour
Next articleLusaka : Msanii Roberto abainisha wazi uwepo wa Natacha Burundi kwenye Album yake ”Journey to the East”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here