Home ENTERTAINMENT Bongo : Ommy Dimpoz asema kwenye Birthday yake Tusichoke Kumuomba MUNGU Kila...

Bongo : Ommy Dimpoz asema kwenye Birthday yake Tusichoke Kumuomba MUNGU Kila Mtihani Una Majibu

363
0

Msani za mziki wa kizazi kipya Kutoka nchini Tanzania Omary Faraji Nyembo maarufu Ommy Dimpoz, akiwa kwenye furaha ya kusherekeye siku yake yakuzaliwa ame onekana aki mushukuru Mungu kwaku mujalia kumpa mwaka mwengine kama gisi alivyo andika kwenye kurasa zake zami tandao yakijami Tusichoke Kumuomba MUNGU Kila Mtihani Una Majibu huku aki ambatanisha na picha yakipindi ana umwa nazingine.

Tukukumbushe kuwa Ommy Dimpoz alizaliwa 12 Septemba, 1987 kwasasa ana umuri wa myaka 35 , Ommy alianza kuvuma kwa wimbo wake wa Nai Nai alio mushirikisha Aliki Kiba.

Ommy Dimpoz

Mwaka wa 2018, ulikuwa mgumu sana kwa Ommy Dimpoz. Afya yake ilitetereka sana baada ya kufanyiwa vipimo Tanzania na kuonekana ana kansa. Lakini baada ya kwenda Kenya kwa moja ya marafiki zake wanaofanya kazi pamoja katika muziki ili kufanyiwa uchunguzi zaidi, napo daktari wa huko alipendekeza apelekwe Afrika Kusini kwa uchunguzi zaidi. Akiwa Afrika Kusini aligundulika kama ana tatizo katika njia kuu ya kupitishia chakula.

Daktari wa Afrika Kusini walitengeneza njia mpya ya kupitishia chakula badala ya ile njia ya asili. Ili kufanikisha hili, ilibidi utumbo uvutwe juu. Hivyo kina cha tumbo kimepungua kutoka hali ya umbo halisi. Hata uwezo wa kula umepungua, akila anashiba mapema sana tofauti na watu ambao hawajafanyiwa upasuaji huu. Kabla ya upasuaji, Ommy alilamikia sana kukosa pumzi, sauti kuwa chini na kadhalika.

Hali halisi alifanyiwa upasuaji wa koromeo. Hali ambayo ilisababishwa na sumu iliyowekwa kwenye chakula. Ommy hajui ni wapi alifanyiwa hivyo.

Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz

33280cookie-checkBongo : Ommy Dimpoz asema kwenye Birthday yake Tusichoke Kumuomba MUNGU Kila Mtihani Una Majibu
Previous articleUmukuru wi Gihugu Evariste Ndayishimiye yifuriza umwaka w’ishure mushasha mwiza
Next articleMan Theo yasohoye amasanamu Video y’indirimbo ‘So Good

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here