Msanii Natacha akiwa na familia yake apojana alihamisi tarehe 24 Juni 2021 walisherehekeya sikuku yakuzakiwa kwa baba wa familia Alfredo, kupitia ukurasa wa instagram Natacha aliposte video iki uneshe kwaufupisherehe yiho ya mume wake na ku ambatanisha na ujumbe wa kumutakiya sikukunjema yakuzaliwa Mme wake Alfredo na ku tagi nyimboyake Naga.
Tazama hapa video ya instagram
MISS ERICA AANGUSHA MACHOZI MBELE YA CAMERA KENT-P AMSHITAKI MISS ERICA
57800cookie-checkAlfredo Mme wa Natcha asherekea sikuku yakuzaliwa tazama hapa | Video Instagram