Home NEWS Opera Record baada yakubalijina nakuwa PENIEL NATION yatangaza album “HOSANA”ya BENISE SWEETBEATS

Opera Record baada yakubalijina nakuwa PENIEL NATION yatangaza album “HOSANA”ya BENISE SWEETBEATS

270
0

Nisiku zizizo kuwando zime toweka ikiwa ime undwa studio Opera Record kwaniaba ya kutengeneza mziki audio , video clip pia nakukuza vipaji vyawa sanii na kuzalisha matunda kwenye vipaji vyawo, Opera Record ili azilishwa na Muimbaji mahiri UWIMANA Irene Laura marufu sana kwajina Iry Tina Da Queena  Miss Planete 2020 ambaye ana fanyia kazizake za Mziki inchni Uganda ambapo ndipo palikuwa makao makuu ya studio Opera Record.

Hivisasa Opera Record ime rudi kufanya kazi kwa kasikubwa na kubadikisha jina kutoka Opera Record na kuwa  PENIEL NATION.

Mojakati ya miundombinuya PENIEL NATION niku kuza kipaji cha muimbaji naku promoti kazi zamuimbaji ambowo waliofanya mikatamba yaku weka hadharani kazizawo dunia nzima. Studio Peniel nation kwasasa iko na mkataba waku tumika pamojana na muimbaji mwenye asili ya Burundi Benise Sweetbeats muimba nyimbo zainjiri (Gospel) kwasasa ana ishi inchini ungeraza.

Studio Peniel Nation inayo mkataba wakufanya kazi na muimbaji Benise Sweetbeats wa ayina mbili ingawa nisiku chachi zime toweka akiwa ame weka hadharani album ya nyimbo zaku mtukuza Mungu iliyo bebejina HOSANNA.

Album yake yiho Peniel Nation ita ipromoti ndani ya inchi za East Afrika na bara la afrika nzima pia dunia nzima naku isimamia mbele zasheria.

Msanii UWIMANA Irene Laura Miss Planete 2020 marufu Iry Tina Da Queena msimamizi wa Studio Peniel Nation yeye ana omba wa imbaji wa Burundi  pia na wa barani afrika kwende kufanya kazi na studio hio kwaku watumkia nyimbo zakiwango chakimataifa na kuwa saidia kuzi promoti.

 

Tazamahapa chini wimbo HOSANNA

NATACHA AJUWI KUIMBA MSHABIKI AMCHANA WAZIZAZI |WIZ DESIGNER AACHE KUBORONGA AFANYE MA COLLABO

5210cookie-checkOpera Record baada yakubalijina nakuwa PENIEL NATION yatangaza album “HOSANA”ya BENISE SWEETBEATS
Previous articleVIDEO MPYA : Lolilo amekuletaa hii “Zero” Itazama hapa
Next articleVIDEO MPYA : Natacha amekuletea hii “Naga” Itazame hapa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here