Home NEWS Msanii Mr Giba aweka bayana kuwa Mama yake Mzazi ndiye alio mfunza...

Msanii Mr Giba aweka bayana kuwa Mama yake Mzazi ndiye alio mfunza kuimba

320
0

Msanii Chipukizi ndania Buja Fleva Mr-Giba ambaye ana jiita Daktari ambae hana cheti chochote cha udaktari namara kwamara yeye hudayi kuwa nifundi na kuwa mganga waugojwa una sumbuwa watu wengi duniani iwe wa Baba, wa Mama, watoto, wazee na vijana ambao ni ugojwa wamoo yani mapenzi.
Mr Giba akizungumza na zabuja.com alisema nizipi sababu za yeye zilizo mupelekea kuingia kwenye taruma ya kuwa muimbaji. Alisema :

Kwenye utotowangu nikiwa bado mdogo hakuna kitu chochote ao muchezo wowote nilio penda kucheza bali nilikuwa ni mutu wakuimba   imba sana wakati wote mda wote.

Msanii Mr Giba kitendo chakuwa ana imba imba akiwa mtoto kilimfanya awe nasauti nzuri nyororo bila kujuwa, pia alisadikisha kuwa ujuzihuyo waku imba ali utowa kwa Mama yake mzazi ambaye alikuwa mwalimuwake akimupa mazowezi yaku imba ili awe bora kwa sauti, hata ivyo inasemekana kuwa Mama yake mzazi  na Mr Giba alikuwa muimbaji mzurisana wanyimbo zainjili (Gospel) hapo zamani kwenye kanisa la wa poro.

Baada ya Mr Giba kuachia nyimbo kadha ali amuwa kusima misha kuimba ili aendeleye na masomo kitu ambacho mashabikizake hawakukipokeya vyema ingawa hakutaka kuzipoteza baraka kutoka kwa Mama yake mzazi kwani yaye Mama Giba alifurahishwa sana na tendo la mwanae kusimamisha mziki ili asome kwanza, ilikuwa sababu kubwa yakumfanya mzazi huyo awe shabiki  wakwanza wa mwanae na mwalimu wa sauti ya mwanae.

MREMBO TILAND THE SUPERLADY WAZIWAZI SIRIZOTE AZISEMA KUHUSU KAZIZAKE

3970cookie-checkMsanii Mr Giba aweka bayana kuwa Mama yake Mzazi ndiye alio mfunza kuimba
Previous articleAUDIO | Nondy Classic Collé Serré | DOWNLOAD
Next articleBig Fizzo, Chany Queen, Kook-k & Thity Love wakuletaa Filam “Nobela” Episode 2 Season 1 waziweka hadharani | Video

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here