Home NEWS John Cena aiomba radhi China “nimekosea”

John Cena aiomba radhi China “nimekosea”

269
0

Star wa Mchezo wa mieleka John Cena amechukua hatua ya kuiomba msamaha China kwa kupataja “Taiwan” kama Nchi kauli ambayo ilitafsiriwa kuwa kinyume au tofauti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika za sheria nchini China.

Kitendo hicho kimefuata baada ya Staa huyo kuinadi filamu aliyoshiriki ya Fast & Furious inayotarajiwa kuingia sokoni siku za hivi karibuni

Hivyo John Cena ali-tuma ujumbe wa msamaha kwa njia ya video kwenye mitandao ya kijamii kwa kuliomba radhi taifa la china kwa kile kilichotafsiriwa kuwa ni tofauti na kanuni kwa kuiita “Taiwan” ni nchi

“I love and respect Chinese. I am very sorry for my mistake. I am so sorry, I apologise” John Cena

Taiwan ni kisiwa kinachojitegemea, huku Mji mkuu ni Taipei ikiwa na idadi ya watu zaidi ya Milioni 23 chini ya kiongozi “Tsai Ingwen”.

TAZAMA ZABUJA TV NAHABARI ZAMICHE

3370cookie-checkJohn Cena aiomba radhi China “nimekosea”
Previous articleAUDIO | YoungC6 Chabel – Fuck Fake Friends | DOWNLOAD
Next articleAUDIO | Tiland – Follow Me | DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here