Goma : Alicios achangicha kwaniaba uakusaidia wa asirika wa volcano

Goma : Alicios achangicha kwaniaba uakusaidia wa asirika wa volcano

28 May 2021 0 By H. Mervis

Mwanamuziki Mashughuli kutoka Congo na afrika mashariki – ALICIOS baada ya kutoa albamu yake 2020 na kufanya vizuri katika Mitandao maarufu ya kusikiliza muziki ndani na nje ya afrika .

Mwezi huu wa Tano (May) amekuja na Wimbo mpya “KIMYA” ambao unazungumzia mapenzi kwa namna ya kuridhia na kuyafurahia kiasi cha kuongeza kadri siku zinapozidi kwenda.

Licha ya Mji anaotoka Congo – GOMA kukumbwa na mlipuko wa Volcano Tena siku ambayo alitoa wimbo huu, habari njema ni kuwa yuko mbioni kufanya changizo kusaidia wahanga wa volcano. Kwa kirefu zaidi tembelea kwenye account zake za mitandao ya kijamii @alicioscongo

“Kimya imetengenezwa na Mtayarishaji wa muziki kutoka Congo anayeitwa MASTOLA MUSIC.

Facebook Comments Box
2820cookie-checkGoma : Alicios achangicha kwaniaba uakusaidia wa asirika wa volcano