Home NEWS Bien Freema agiza ujumbe mzito kwa Bantu Boyz baada ya kumutimuwa Double...

Bien Freema agiza ujumbe mzito kwa Bantu Boyz baada ya kumutimuwa Double Jay na Kirikou

334
0

Msanii Bien Freema ame amuwa kufunguka yamoyoni kwa uchungu mwingi na kuonasha uruma mkubwa baaada ya wasanii wawi Double Jay Na Kirikou kutimulia ndan ya record label ya Bantu Bowy, kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook Bien freema amewkazamoyo Double Jay na Kirikou nakuwa kumbusha kuwa maisha yana endelea hatakama awako tena ndani ya Bantu Bowy naku waomba wajifunze mufumo mwingine waku baki kwenye gamm hata ivyo na kusukuma ujumbo kwaviongozi wa Bantu Bowy ali andika :

Ndugu zangu Double Jay na kirikou Akili tumewaelewa Sana Mkataba ukiisha sio mwisho wamziki wenu uyo njo mda wakushimama himara ku Focus sana Nina ujumbe kidogo kwa Bantu Bowy  ” Kama mkataba umeisha na walikuwa wanaingiza pesa wapeni Ungine mkataba Ao njo Tumebaki na Elly’s Bwoy tu.

Hata ivyo uwongozi wa Bantu Bowy wawo hawajakubali mpaka sasa kufanya mahojiyano yoyote na watangazaji nakudayi kuwa wanaweza kujikuta wame jibu vitu vyasiri, pia hayija julikana nini chanzo chaku  sitisha mukataba na wa sanii awo. Pia bado  maswali kemukemu yana ulizwa namashabiki wengi kama nyimbo walizo tengeneza wakiwa ndani ya Bantu Bowy zita endeleya kuwa za Bantu Bowy awo Double Jay na Kirikour zita enda kuwa zao wata zitumia popotr pale nakuji tazutia mapato hata kwenye matamasha?

2580cookie-checkBien Freema agiza ujumbe mzito kwa Bantu Boyz baada ya kumutimuwa Double Jay na Kirikou
Previous articleVIDEO | Mt Number One – Ndavyemera | DOWNLOAD
Next articleVIDEO | Zombi Boy – Chuchuma | DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here