Kigali: Tom Close awajibu waliodayi kuwa damu zitauzisha Rwanda

Kigali: Tom Close awajibu waliodayi kuwa damu zitauzisha Rwanda

20 May 2021 0 By H. Mervis

Msanii pia muganga Muyomba Thomas ana fahamika kwajina Tom Close, ame funguka kwawalio dayi kuwa dawa ambazo zinatolewa nawatu mbalimbali Rwanda kwarizaa kuwa zina enda ku uzishwa.

Nijambo ambalo lime semesha wengi kwenye mtandayo wa Twitter nibaada ya mtangazaji Aissa Cyza wa Royal Fm alipo uliza kuwa ‘Damu zina enda kuuzishwa Eti ” Sasa itakuwa nipe nikupe.”

Tom Close kiongozi mtawi lakukusanya damu inchini laku angalia uzima (RBC), aliandika kwenye Twitter akisema kuwa kawaida ambaye anatowa damu ana towa bure na ambaye anayo yapewa anapewa bure bila malipo yoyote. Pia alisema kuwa endapo mutu atatowa damu, kabla yakumupa ambaye ana yaitaji zinaazwa kupimwa magojwa yana ambukiza kupitiwa damu (HIV, Epatitis D,C na Syphilis).

 

Facebook Comments Box
2340cookie-checkKigali: Tom Close awajibu waliodayi kuwa damu zitauzisha Rwanda