Home NEWS Mt Number One awudadisi moyowake kwamurembo ame ugusa moyowake

Mt Number One awudadisi moyowake kwamurembo ame ugusa moyowake

401
0

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Mt number One ame ibuka naku udadisi moyowake kwa msichana ambaye alio posti picha yake, msichana mrembo waumbo lizuri ame ugusa moyo wa Mt number one naku izuwa nguzo kwama shabiki wa mziki wa Buja Flavour, ali andika ujumbe wamalengo yaku yaweka wazi uhusiyano wawo waki mapenzi aliandika ivi : To be Continued ule msichana nilio ambaya yale maneno kila wakati ananambia tuwa weke hadharani , munione jamani namimi namwambia aachakwanza wafunge bibwebwe vizuri pasiwe ambaye kitanguka wakati wakucheza.

Mt Number One ajaweka hadharani mengi kuhusu mrembo huyo japo wengi weme enda mbali na kudayi kuwa uwende nikiki zakwenye midandayo tu ame amuwa Mt Number One, ikumbukwekuwa Msanii Mt Number One nizaidi yamyezi mitatu sasa alipo achia video yake One Day alio mshirikisha Sat-B na tayari imesha tazamwa na watazamaji zaidi ya 90.000 views kwenye chanel yake ya YouTube.

Picha ya kwenye instagram

Msanii Mt Number One 

2050cookie-checkMt Number One awudadisi moyowake kwamurembo ame ugusa moyowake
Previous articleAUDIO | Ado B – Reka kurira | DOWNLOAD
Next articleBelle9ice atupa kombora likali kwama aduwi zake licha ya ukimya wake

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here