Home NEWS Miss Erica amuweka hadharani mpenzi wake mzungu mzee

Miss Erica amuweka hadharani mpenzi wake mzungu mzee

449
0

Msanii Miss Erica ame amuwa kuwa onesha mashabiki zake mpeziwake mupya kwasasa japoa akupende kudhihirisha asili yampenzi wake hata umri ina onekana kuwa niwa makamo kuliko yeye  ingawa ime onekana kuwa ni mzungu , ikumbukwekuwa Miss Erica  nizaidi ya myezi minana aja towa wimbo wowote baada yaku achia audio ya wimbo My Hero.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Miss Erica aliposti nakutupia ujumbe muzito kwamashabikizake nawale wote ambayo walikuwa waki mukondolea macho na ku weka hadaharani pia gari lake na nyumba aliandika ivi : Maisha yamejaa mshangao mingi san … Kwa kweli wakati mwingine kuna machozi na kicheko. Na lakini machozi kwangu sasa ni machozi ya furaha, ninawasilisha kwako toleo jingine la maisha yangu mapya. (Mtu wangu, nyumba yetu mpya na gari langu). Yote haya ni Miss Erica ambaye atafanya familia kubwa “WE. ️ … Utajua zaidi hivi karibuni … God in the Mix

Hata ivyo bado ayijajulikana mpenziwake ana itwa nana.

Miss Erica na Mpenziwake

Miss Erica na Mpenziwake

Nyumba ya Miss Erica

Gari la Miss Erica

My Hero – Miss Erica

1811cookie-checkMiss Erica amuweka hadharani mpenzi wake mzungu mzee
Previous articleVIDEO | MB Data – Shiwawa | DOWNLOAD
Next articleVIDEO | The Twins Band – Nimekata Tama | DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here