Home NEWS Jordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique

Jordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique

557
0

Mchezaji mwenye asili ya Burundi Jordi Liongola ame saini mkataba waku ichezeya timu  Lierse KSK ya daraja lapili inchini Belgique hapo jana tarehe 19 julai 2021.

Mkataba huyo ume onesha kuwa mchezaji Jordi Liongola  ata ichezea timu hio kwa mwaka umoja, hata ivyo ukukumbuke kuwa Jordi amesha itwa mara kaza ku ichezea timu yake yataifa Intamba Murugamba kama muchezo ulio kutanisha Burundi na Maroc mwakajana (2020) kwaku saka tiketi ya kwenda kwenye kombe la Africa, mchezo ulio fanyika mujini Bujumbura.

Mchezaji Jordi Liongola ni mtoto wa Liongola  mchezaji wampira wamigu wazamani wa timu ya Inter FC na timu ya taifa Intamba Murugamba.

Zinedine Zidani hataki tena kuwa Coach wa Real Madrid nae Emery Unai ajingea historia kubwa

7630cookie-checkJordi LIONGOLA asaini mkataba waku ichezea LIERSE KSK timu ya Belgique
Previous articleBig Fizzo aomba pesa wapenzi wa Mziki wa Buja Fleva kupitia Boomplay,Spotfy
Next articleAUDIO | Big Fizzo – Umudodo | DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here