Home NEWS K_Muco arudi kwakishindo nakasi kubwa ndani ya Buja Flavour

K_Muco arudi kwakishindo nakasi kubwa ndani ya Buja Flavour

397
0

Msanii Isaka Nsengiyumva a.k.a K_Muco mzaliwa wa mukowa wa Rumonge ambaye kwasasa ana ishi chni America ame sibitisha kurundi kwakishindo na kasi kubwa ndani ya mziki wa Burundi Buja Flavour baada yakukaakimya kwa zaidi ya myaka miwili aja towa nyimbo kwani wimbo wake wamwisho ilikuwa ni video ya wimbo REMADA ambayo imesha tazamwa nawatu zaidi ya 1.000 Views ikiwa kwenye Chanel yake ya YouTube ali iweha hadarani tarehe 04 Octoba 2019.

K_Muco aki zungumza na zabuja.com amefunguka kuwa kazi zakusaka maisha zilibana naku jikuta mda umekuwa mchache pia na janga la corona lilichangia ila kwasasa ame amuwa kurundi kuwa karibu na mashabiki zake na moja kwamoja kutowa wimbo mpya ume bebe jina TAMBA akiwa ame mshirikisha Msanii DJ TK myeneye asili ya Amereica.

Msanii K_Muco aliwahi kutembelea mkowa wake wa Rumonge kipindi cha tamasha UTAIPENDA Concert akiwa na Msanii Gaga Blue na Aslay Msanii kutoka Tanzania, “itakuwa nifuraha kubwa kwangu kurundi kufanya tamasha ndani ya chni yangu Burundi hata kufanye tanasha nyumbani Rumonge hata pengine” alisema K_Muco.

750cookie-checkK_Muco arudi kwakishindo nakasi kubwa ndani ya Buja Flavour
Previous articleFaraja afunguka ujio wanyimbo yake mpya
Next articleBien Freema afunguka yamoyoni baada ya Big Fizzo akiwa Dar Salam

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here