Msanii ngulu wamziki wa Buja Fleva Lolilo Simba atimaye ame achiya video ya wimbo wake mpya ume bebajina ZERO ambao ameimba katika luha ya kifarasa mwanzo mwisho, Lolilo ame onekana mwaka huu uku achiya nyimbo nyingi ukilinganisha na mwaka jana. Unaweza kuitazama apa Zero.
Tazama pia hii
NATACHA AJUWI KUIMBA MSHABIKI AMCHANA WAZIZAZI |WIZ DESIGNER AACHE KUBORONGA AFANYE MA COLLABO
51710cookie-checkVIDEO MPYA : Lolilo amekuletaa hii “Zero” Itazama hapa