Msanii ngulu wa mziki wa Buja fleva Lolilo ame amuwa kuwa ashiria mashabiki zake kuwa soon atakuja kuwa pa nyimbo mpya, kupia kurasa zake zamitandao yakijami Lolilo ame wa omba mashabikizake ku subscribe chanel yake ya youtube kwakusubiri video mpya, ikubukwekuwa hapo nyuma ame onakana kwenye collabor kadhaa. Video Karanesha ikiwa ni wikitatu zime isha na imesha tazamwa nawatazamaji zaidi ya 16.000 Views kwenye chanel yake ya YouTube.
49150cookie-checkLolilo ajianda kuweka wimbo mpya hadharani