Msanii nyota wa Buja Flevo Sat B azidi kuonekana imara sana na kukubalika na ma campany mengi hao yamezihirika baada yakula mukataba na kampuny ya Bima ya Biashara na Kampuni ya Bima BIC inchini Burundi kuyiwakilisha kama ambassador wayo.
Msanii Sat B kupitia kurasa zake zamitandayo yakijami ame shukuru kampuny hiyo BIC kwaku muchaguwa awiwakilishe. ikumbukwekuwa huyui nimukataba wapili ndani yakwa ka huyu wa 2021 baada ya campuni Crown Royal.
Picha
43700cookie-checkSat B apata mkataba wakuwa ambassador wa BIC (Business Insurance and Reinsurance Company)