Msanii kutoka ndani ya Bongo Fleva Ney wa Mitego aweka bayana kutokuwa na ushirikiano wowote na msanii yoyote kwenye nyimbo zake kwa zaidi ya myaka mine sasa nawengi huji uliza maswali mengi, Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa instagram ame andika :
Ni miaka mingi sana sijashirikisha wasanii kwenye ngoma zangu.! wimbo wa mwisho kumshilikisha msanii ni Acheze Ft @richmavoko miaka minne 4 iliyo pita. na ndio ilikua collaboration ya pili, ya kwanza ilikuwa mm na @diamondplatnumz Mziki Gani Miaka 8 iliyo pita. sasa ni time ya kupiga collabo za kutosha.
Hata ivyo ey wa Mitegoame weka wazi kuwa wiki hii ata weka hadharani wimbo wake mya.
42000cookie-checkBongo : Nay wa Mitego ajuta kuto kufanya collaba na Msanii wingine kwama myaka 4 sasa