Hili solakukosa kutazama. Msanii Famou afunguka mengi sana kuhusu kundi lake Fusho Tune  ambayo ni yeye Fundi na Mwenzakew Mwanzo mwisho ambeye ana ishi afrika ya kusini, nakudai kuwa yeye kwasasa ana itwa Fundi, pia Famous afunguka kuwa kwasasa ame hamisha kazizake za mziki kuwa atakuwa akizifanyia mjini Bujumbura sio Rumonge tena kama gisi ilivyokuwa apo awali.
Tazama Hapa
511800cookie-checkVIDEO ZABUJA TV | Hiyi ndomana ya FUSHO TUNE Rumonge | Famous afunguka mengi utakubali