Msanii Natacha baada ya ku post akiwa safarini na kusema kuwa anaenda ku chaji simu yake sehemu kusiko julikana hatimaye jana ameonekana akiwa kwenye picha kupitia insta-story yake na wasanii wa East Africa ambao ni Bruce Melodie wa Rwanda pamoja na Eddy Kenzo wa Uganda.
Picha hizo inaweza kuwa ni moja ya Ishara inayoweza kutuaminisha kuwa kuna kazi inayoweza kuwa iko njiani baina ya msanii Natacha na wasanii hao hata kama bado hatujakuwa taarifa kamili ao kama ni picha tu au ni kazi iko njiani
zabuja.com tumejaribu kumtafuta Management wake ili atupe ukweli wote ila nae pia ni kama hajapenda kuweka wazi kuhusu Habari hiyo bado tunaendelea kufanya uchunguzi ili tupate Habari kamili .
Video : Hiyi ndomana ya FUSHO TUNE Rumonge | Famous afunguka mengi utakubali
512500cookie-checkNatacha kufanya nyimbo na Bruce Melodie na Eddy Kenzo ?