Home NEWS Mechi ya Burundi na Erithria ya simamishwa kwenye mitaa yapili kwasababu ya...

Mechi ya Burundi na Erithria ya simamishwa kwenye mitaa yapili kwasababu ya mvuwa kali sana

435
0

Mchezo zidi ya Burundi na Erithria umesimamishwa kwa sababu ya mvuwa kali sana kunyesha niwakati Burundi ilikuwa imesha jipatia Goli moja dhidi ya Erithia ikiwa mita ilikuwa imesha isha , Mchuwano huwo una tarajiwa ku endelea hapo kesho majira ya saine asubuhi masaa ya Burundi ambapo itachezwa mita yapili tu.

Gole na Burundi lili fungwana na Mchezaji NSHIMIRIMANA Ismail  kwenye dakika ya kuminatano wa mita yakwanza na hiyi ndio orodha ya wachezaji ambowo Coach wa timu ya taifa intamba Murunga U23 Jimmy Ndayizeye alio azicha uwanjani .

Orodha hiyo ni :
RUKUNDO Onesime
NDIKUMANA Asumani
VYAMUNGU Raoul
NGABONZIRA Blanchard
HAKIZIMANI Adolphe
NSHIMIRIMANA Ismail
NAUDTS Jamir Matheo
NSABIMANA Issa Hubert
HAKIZIMANA Issa
RUKUNDO Abdourahmani
7860cookie-checkMechi ya Burundi na Erithria ya simamishwa kwenye mitaa yapili kwasababu ya mvuwa kali sana
Previous articleAUDIO | Big Fizzo – Umudodo | DOWNLOAD
Next articleMkombozi afunguka kuhusu kurejea inchini Burundi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here