Msanii ngulu wa Mziki wa Buja fleva Kiongozi wa Record Lebo Bantu Bwoy Big Fizzo ame amuwa kuwa elekaza mashabiki zake na kuwa onesha nigisi gani wana weza kusikiliza wimbo wake na ye kujipatia pesa, iko hivo nibaaga yakuweka hadharani wimbo wake mpya ume bebeja jina UMUDODO kwenye kurasa zake zamitandayo yakijami inalipisha pesa kam Boomplay,Spotfy nazingine.
Big Fizzo niwazi wazi kuwa anamalengo yakujipatia kipato chapesa kupitia mitandao hiyo ingawa inchini Burundi bado watu wanajikokota kwakutumia mitandowo yakijami kwakasi nawengi hupiga mayowe kwa kukosa salio yakutumia kufunguwa ma Chanel ya waimbaji kwenye Youtube nahilo hupelekea kudorora kwa waimbaji kuto kuwa na watazamaji wengi kwema ma chanel yawo licha ya boomplay,spotfy na zingine.
Kupitia kurasa sake Big Fizzo ame wataka mashabiki zake kwenda kusikiliza wimbo hiyo kwenye kurasa izo zamitandandayo ambaio zina lipa pesa wa imbaji, nima saa machehe tu akiwa ame iweka hadharani.