Home NEWS Wiz Designer asema ndotozake za Mziki inje ya Burundi

Wiz Designer asema ndotozake za Mziki inje ya Burundi

542
0

Muimbaji anatabiriwa kuwa na mafanikio makubwa sikuzijayo kimziki inchini Burundi Wiz Designer nawingi kumfahamu baada yaku achia video yawimbo wake NYAMPINGA mwaka jana 2020 mwezi wanane na imesha tazamwa na zaidi ya watazamaji 460.000 views kwenye chanel yake ya YouTube,Wiz Designer ame amuwo kuwa muwanzi na kusema ni zipi zababu zana mupelekeya kwasasa kuonekana akishirikishwa nawa imbaji mbalimba hata wa inje ya inchi kama Congo.

Ikumbukwekuwa Wiz Designer amecha achiya nyimbo zake mwenyewe 6 tu pakiwemo Nyampinga, Positive, Good Morning, Kokoriko, Valentine na Monde Avion ft Mo’w Kenzie ikiwa ni myezi miwili tu alipo iyachia, kwasaa ana onekana kushirikishwa sana.

Msanii Wiz Designer akizungumza na zabuja.com : “Ninafanya collarotion na tukisha fanya nyimbo tuna angalia nakitu tunataka kifike na wapi tunataka ichokitu kifike, kwahiyo ninajaribu kutumika nawatu tofa uti so collaboration zaapa bado ningali nazitumika lakini kwasasa bado ninakazi nawatu wa inje kama wa Conko unaona tumetumika nawo sana ina onekana kuwa kule Congo mziki wangu una poketea vizuri, mziki kwasasa nina ufanya niwa kujitowa inje ya Burundi kwani tuna angali ni wapi wengine wa Imbajiji walipofika nasisitu tuna ngalie nigisigani tutafanya ili tuwa fikie”Alisema Wiz Designer.

Sikiliza audio Wiz Disegner (Audio Mp3)

  1. 1.
    www.zabuja.com
    -
    zabuja.com Wiz Designer
    1:19

NGO URUKUNDO BAMWERETSE NTAHANDI YARI BWARUBONE | MB DATA ARABIVUZE VYOSE

7280cookie-checkWiz Designer asema ndotozake za Mziki inje ya Burundi
Previous articleVIDEO MPYA : The Twins Band wakuletea “Panda Mlima” itazama hapa
Next articleIzere FC ya salim amuri zidi ya Mugara FC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here