Home NEWS Izere FC ya salim amuri zidi ya Mugara FC

Izere FC ya salim amuri zidi ya Mugara FC

342
0

Nimchezo wakirafiki ulio ulio chezwa kwenye uwanja wa Mugara wilayani Rumonge mukowani Rumonge ijumapili hii ya tarehe 19 julai 2021 kwenye majira ya saku jioni zidi ya team ya Radaio izere fm ambayo ni Izere Fc na team yahapo Mugara ambayo ni Mugara FC.

Team ya Mugara FC ili ibuka na ushindi wa bao moja kwa sifuri ya Izere FC (Mugara FC 1-0 Izere Fc) goli nililo pyatikana kwenye mitaa yakwanza mchezo uliyo dhihirika emo uhasama mkubwa, ikumbukwe kuwa mchezo wa awali Izere FC ili ifunga Mugara FC goli moja kwa zero (Mugara FC 0 – 1 Izere FC) hapo hapo kwenye uwanja wa Mugara.

 

7350cookie-checkIzere FC ya salim amuri zidi ya Mugara FC
Previous articleWiz Designer asema ndotozake za Mziki inje ya Burundi
Next articleBig Fizzo aomba pesa wapenzi wa Mziki wa Buja Fleva kupitia Boomplay,Spotfy

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here