Miongoni mwa stori zinazochukua headlines nchini Marekani ni kuhusu gari la Marehemu Paul Walker ambalo limeripotiwa na vyombo mbalimbali kwamba linauzwa kwa dola za kimarekani 550,00.
Gari hilo lenye usajili wa namba MK4 toyota Supra limethibitishwa ndio lililokuwa likitumiwa na Marehemu Paul Walker, Paul alifarika mnamo mwaka 2013 kwa ajali ya Gari katika mji wa California.
56000cookie-checkMarekani: Gari la Marehemu Paul Walker lauzwa zaidi ya bilioni 1.2 za Burundi