Msanii Natacha ni masaa machache tu yame isha ame weka hadharani video yawimbo wake mpya NEGA, kwasasa Natacha yuko inchini Tanzania kwaziyara yakikazi ya mziki. Nimyezi miwili ime toweka imetoweka akiwa ame achia wimbo Data ambayo mpaka sasa ime tizamwa na zaidi yawatazamaji 31.000 views kwanye chanel yake ya YouTube. Natacha marahii amekuletea Naga unaweza kuitazama hapa.
Natacha-Naga.mp3 (144 downloads )NATACHA AJUWI KUIMBA MSHABIKI AMCHANA WAZIZAZI |WIZ DESIGNER AACHE KUBORONGA AFANYE MA COLLABO
53001cookie-checkVIDEO MPYA : Natacha amekuletea hii “Naga” Itazame hapa