Msanii Belle9ice ameamuwa kutupa kombora likubwa sana kwama aduwi zake hayo ame yadhihirisha kupitia posti ame posti kwenye instagram yake ikiwa nimuda mchachetu ,kupitia ukurasa huyo ameweka picha yake naku andika ujumbe waku walenga mahasim zake naku andika : Be a good person but don’t try to prove it ..akimanisha kuwa mtu mzuri lakini usijaribu kudhibitisha uzuri wako.
Baadhi ya commente zime dhihirisha kuwo wote wanakubaliana na Belle9ice, ni Msanii ambaye amedhihirika sana kwenye instagram akiposti marakwamara vijembe nawengi kudadisi kuwa uwenda zipo chokochoko ambazo Belle9ice aja amuwa kuweka hadharani.
Msnii Belle9ice haja onekana akitowa wimbo wowote nizaidi sasa ya myezi mitisi ime toweka kwani ali achia video ya wimbo wake Najiamini alio mshirikisha Miss Erica ilikuwa tarehe 22 Agosti 2020 na imesha tazamwa nazaidi yawa tazamaji 50.000 views kenye chanle yake ya YouTube.
Picha ya kwenye Instagram
Msanii Belle9ice