Home NEWS Safari ya Natacha Burundi inje ya inchi leo asubuhi yabaki namaswali mengi...

Safari ya Natacha Burundi inje ya inchi leo asubuhi yabaki namaswali mengi kwamashabiki zake

374
0

Msanii Natacha Burundi leo  ijumaine tarehe 11 May 2021 mida ya asubuhi ame onekana uwanja wandege mujini Bujumbura kwaharakati zafasari, kupitia kwenye kurasa zake zamitandao yakijami amedhihirisha ukweli wasafariyake japo hayijajulikana ukweli ana elekeya inchi gani, kwenye safari hiyo ame onekana aki ambatana na NYANDWI Raphael ambaye ni manager wake.

Ingawa wengi huji uliza kuwa uwenda Natacha ame enda kuchoot video ya wimbo alio shirikishwa na Roberto ‘‘Follow ‘‘ , Manager Rapha yeye kwenye ukurasa wake aliposti picha naku andi : Njiani kwenda jikoni kupika chakula fulani pamoja @natachaBurundi.

 

1091cookie-checkSafari ya Natacha Burundi inje ya inchi leo asubuhi yabaki namaswali mengi kwamashabiki zake
Previous articleAUDIO | Ras Mengu – Ananipenda | DOWNLOAD
Next articleVIDEO LYRICS | King Plata ft BienFreema Boy – My Gogo | DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here