Home NEWS USA : Bobby Shmurda kaonekana kwenye ofisi za ‘Roc Nation’ ya Jay...

USA : Bobby Shmurda kaonekana kwenye ofisi za ‘Roc Nation’ ya Jay Z

383
0

Ni Mkali wa Hip Hop kutokea nchini Marekani Bobby Shmurda mwenye umri wa miaka 26 ambae time hii amemiliki vichwa vya habari nchini kwao baada ya kuonekana katika ofisi za lebo ya Roc Nation ya mkali Jay Z.

Bobby kupitia ukurasa wake wa instagram alishare clip ambayo ikimuonesha akiwa katika ofisi za Roc Nation kwahiyo hii huenda kukawa na uwezekano mkubwa wa Rapper huyo kutua mikono kwa kwa mkongwe Jay Z. imeelezwa Bobby tangu atoke gerezani ajaachia wimbo wowote kwani yupo katika maandalizi ya album yake mpya ambayo inayotajiwa kuachiwa mwaka huu.

4950cookie-checkUSA : Bobby Shmurda kaonekana kwenye ofisi za ‘Roc Nation’ ya Jay Z
Previous articleLolilo ajianda kuweka wimbo mpya hadharani
Next articleAUDIO | Yuro Adela – Tuzohage | DOWNLOAD

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here