Sat B apata mkataba wakuwa ambassador wa BIC (Business Insurance and Reinsurance Company)

Sat B apata mkataba wakuwa ambassador wa BIC (Business Insurance and Reinsurance Company)

9 June 2021 0 By KAMIKAZI

Msanii nyota wa Buja Flevo Sat B azidi kuonekana imara sana na kukubalika na ma campany mengi hao yamezihirika baada yakula mukataba na kampuny ya Bima ya Biashara na Kampuni ya Bima  BIC inchini Burundi kuyiwakilisha kama ambassador wayo.

Msanii Sat B kupitia kurasa zake zamitandayo yakijami ame shukuru kampuny hiyo BIC kwaku muchaguwa awiwakilishe. ikumbukwekuwa huyui nimukataba wapili ndani yakwa ka huyu wa 2021 baada ya campuni Crown Royal.

Picha

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Facebook Comments Box
4370cookie-checkSat B apata mkataba wakuwa ambassador wa BIC (Business Insurance and Reinsurance Company)